Kesho na Mateso ya Jana
About this video
Check out this video I made with revid.ai
Try the AI Music Video Generator
Create your own version in minutes
Video Transcript
Full text from the video
Badru Koesi Wapi wakali wa kutabiri wanitabiri eh. Maana kesho fumbo kubwa nani anifumbulie?
Niliyochanganyika nao. Mbona hawanivuti? Au ndege wafanana nao?
Tuko miti tofauti. Maana natamani kuwazoea. Ila nahofia kesho. Niliwazoea jana. Ndio chanzo cha
mateso. Kesho Kesho Kesho Kesho
Natamani watakaonizika niwajue ili niishi nao vyema. Niwajue na watesi nijitenge nao mapema.
Mwana wa jana, kawa mwana wa leo. Hata wana wa jana,
ndio hawa hawa wa leo. Mateso ya leo, chanzo ni jana. Naogopa uzee
kwa changamoto za ujana. Kesho mmh. Keshon.
240,909+ Short Videos
Created By Over 14,258+ Creators
Whether you're sharing personal experiences, teaching moments, or entertainment - we help you tell stories that go viral.